Tengeneza QR code bure, yenye nembo yako.
Chagua aina, jaza taarifa, weka rangi na nembo, kisha pakua. Bila kujisajili, bila alama yetu.
QR za kila hitaji la biashara
WhatsApp: mteja anakuandikia moja kwa mojaWiFi: wageni wanaunganishwa bila kuuliza nenosiriLink: menyu, brosha, fomu au tovutiSimu: kupiga kwa kugusa mara mojaEmail: ujumbe ulioandaliwa tayariGoogle Maps: njia ya kufika kwako
Unahitaji QR zichapishwe?
DP Promotions inachapisha stika, mabango, kadi za NFC na menyu zenye QR yako, kwa rangi na nembo ya kampuni.