Gusa kadi ya NFC, inafungukaMteja anagusa kadi yako ya NFC nyuma ya simu yake. Hapakui app yoyote.
Scan QR, kadi inafungukaKamera ya simu inasoma QR iliyo kwenye business card yako, flyer au bango.
Anakuhifadhi kwa mguso mmojaAnabonyeza Hifadhi namba, na jina, namba na email yako vinaingia kwenye simu yake.
Badilisha muda wowoteUmepandishwa cheo au umebadili namba? Unasasisha mwenyewe, kadi uliyogawa haichapishwi upya.
Mitindo 20 ya chapa yakoChagua mtindo, weka rangi, nembo na picha ya kampuni yako.
Jua nani amekuangaliaDashibodi inakuonyesha wangapi wamefungua kadi, wamepiga simu na wamekuhifadhi.